Pamoja na kwamba kuna kibao kinachozuia kuegesha magari ya namna hii katika eneo hili,lakini ndio kwanza na mengine yanaendelea na kutengenezwa.sasa sijui ni kwamba hicho kibao hakionekani au ni jeuri tu za hawa madereva wa magari haya.
haya sasa,hili nalo tunalizungumziaje.maana hapo huyo dereva ambaye anaonekana ni mwanafunzi kapigwa mkono na kusimama sehemu isiyoruhusiwa.Picha zote na Said Powa Blog.
No comments:
Post a Comment