Mfanyabiashara ndogo akimuokoa mkazi wa Dar es Salaam, Charles Maina ambaye ni dereva wa Magari ya kampuni ya Superdoll kutoka mikononi mwa vijana wanaodaiwa kuwa ni vibaka baada ya jaribio lao la kutaka kumpora mali zake kushindikana kama ilivyokutwa katika taa za kuongozea magari makutano ya barabara ya Nyerere na Kawawa. (Picha na hisani ya Habari Leo iliyopigwa na Fadhili Akida).
Friday, March 16, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment