Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na mgeni wake Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo yao, na kujitambulisha kwa Rais.Picha na Ramadhan Othman IKULU.
No comments:
Post a Comment