HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 28, 2012

BIA YA BALIMI EXTRA LAGER YAZINDUA MUONEKANO WAKE MPYA MKOANI TABORA

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa, akizungumza wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Frankman Tabora.
Meya wa Manispaa ya Mkoa wa Tabora, Dewji Gulamu (kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager uliofanyika katika Hoteli ya Frnkman Tabora.Kulia ni Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa na Meneja Mauzo wa Mkoa, Robert Michael.
Muimbaji wa Bendi ya Frankman, Fatuma Msabuni akiimba sambamba na wacheza shoo wakati wa uzinduzi wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Tabora.
Wacheza shoo wa Kampuni ya Promosheni ya Intergreted wakicheza wakati wa uzinduzi wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Tabora.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad