HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 2, 2012

Ajali Mbaya Yatokea Jijini Mbeya Usiku wa Kuamkia leo,Mmoja apoteza maisha papo hapo

Ajali mbaya imetokea usiku huu barabara ya kuelekea tunduma eneo la iwambi kati ya gari aina ya toyota hilux na daladala aina ya toyota hiace mtu mmoja amefariki ambaye alikua dereva wa  gari pick up toyota hilux na majeruhi wanne waliokuwa kwenye dala dala hilo
Mke wa mmiliki wa basi la dala dala akilia kwa uchungu kuwa gari hiyo haijamaliza hata wiki tangu wanunue inapata ajali analia akisema sasa umaskini umeingia katika familia yao
Habari kamili tutawaletea kesho asubuhi
(Picha kwa hisani ya Mbeya yetu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad