HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 13, 2012

Washindi wa Shindano la Uonjaji wa Bia bora za kampuni ya TBL wapatikana Dar

washindi wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Cliford Ndimbo, Francis Dande na Silvan Kiwale
 Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi akikabidhi Francis Dande wa Globu ya Jamii zawadi kwa mshindi wa kwanza wa shindano la waandishi wa habari la uonjaji wa bia bora za kampuni hiyo wakati wa shindano lililofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Wataalamu wa kuonja kilaji  wakiwa shindanoni. 
 Shindano likiendelea
 Mshindi wa Pili Silvan Kiwale akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Edith Mushi
 Mshindi wa tatu, Cliford Ndimbo akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Edith Mushi
Ofisa wa kampuni ya TBL, Deusdedit Maganga (wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa wanahabari waliofanya ziara ya kuangalia uzalishaji wa bia katika kiwanda cha Kampuni ya bia Tanzania (TBL).
Waandishi wakiwa katika ziara ya kujifunza katika kiwanda cha kampuni ya TBL.

1 comment:

  1. help me to get an application form for this job ill do it day n nite

    ReplyDelete

Post Bottom Ad