Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akitoa maelezo ya nyumba zinazoendelea kujengwa katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kushoto) akiwa na wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani.
Ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (mwenye shati la draft) akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa ya Chingungweni, zinapojengwa nyuma kwa ajili ya wasanii Sheikh Majaliwa , alitoa Ahadi ya kujenga Msikiti na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief Comettee Kuwait.(picha na www.burudan.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment