Maana huyu jamaa kaweka gari yake hapa ambapo ni njia ya kupita magari mengine pia na huku akiona kabisa gari nyingine inakuja,eti anashuka na kuingia kwenye ATM.si Dharau hiziii...!!
Wednesday, February 15, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
watanzania tu washamba na ushamba wa ujinga kabisa.
ReplyDeleteUkiona mtu wa namna hii sio Mstaarabu,,,inaonyesha ali sota sana kimaisha hapo nyuma, na inaonekana hata hizo fedha anazokimbilia huko ATM amezipata ki bahati au kama vile amewazika watu ktk dili, na kuwa ni limbukeni wa mafanikio.
ReplyDeleteBaadhi yetu sisi mtu akiwa na uwezo wa hela ya muda ,ya msimu na ya bahati ya kula na kubadili mboga anajiona yuko juu sana.
Uungwana ni vitendo!