HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 20, 2012

rais wa Airtel Afrika katika kitengo maalum cha mawasiliano asifu vyombo vya habari TZ

  Kulia ni  Nasa Kingu Mkuu wa Vpindi wa East Afrika TV/ Radio akiwapokea na kutoa maelezo jinsi wanavyofanya shughuli za habari katika ofisi za East afrika TV/Radi
  Kaimu Naibu Mhariri wa The Guardian Bw Wencenslaus  Mushi akitoa maelezo kwa Rais wa Airtel Afrika kitengo cha mawasiliano (alieshikilia gazeti) huku Bw Alexander Doll Mkurugenzi mkuu wa Hill+Knowlton Strategies  (wapili toka shoto) toka  kampuni maalum ya Mahusiano ya Airtel Afrika akifuatilia kwa undani zaidi.  Anaefuata ni Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe  Bw Jesse Kwayu pamoja na wadau wa Airtel nchini Tanzania.
 Toka shoto ni Raisi wa Airtel Afrika kitengo maalum cha mawasiliano Michael Okwiri akipokelewa na Bi. Joyce Luhanga Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha IPP (kati) mara baada ya kuingia katika ofisi kuu za IPP Mikocheni jijini Dar leo. Mwishoni ni kiongozi wa vipindi Radio one na Mtangaza wa ITV Bw, Isack Gamba akiwaongoza pia.
 Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe  Bw Jesse Kwayu pamoja na wadau wa Airtel nchini Tanzania
Bw, Isack Gamba ambae ni kiongozi wa vipindi Radio one na Mtangazaji wa ITV akiwaelezea jinsi wanavyofanya vipindi na kushirikisha wasilizaji live katika studio za Radio One Stereo mitaa ya  Mikocheni jijini Dar

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad