Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika pamoja na Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime (katikati) waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment