HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 16, 2012

Basi la Happy Nation lapata ajali

 Basi la Happy Nation limeanguka baada ya kushindwa kuumudu mteremko wa  TAZAMA, maarufu kama Pipeline. Habari toka kwa abiria waliopanda basi la Nganga, anasema watu wamejeruhiwa vibaya ila hakuna vifo. Basi hilo likiwa kwenye mwendo kasi lilitaka kulipita basi la Nganga, lakini kukawa na gari jingine linapandisha mlima huo, ndipo dereva akalazimika kulirudisha nyuma ya basi la Nganga na kuligonga kwa nyuma na kupinduka. Abiria wa basi la Nganga wamesalimika wote.picha na Felix Mwakyembe

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad