HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 28, 2012

Mdau Albart Jackson uso kwa uso na Babu Ambi,Loliondo

Mchungaji Ambilikile Mwasapila a.k.a Babu wa Kikombe akiwa na Mdau Albart Jackson ambaye ni mmoja wa wadau wake aliyemtembelea katika ofisi zake zilizopo katika kijiji cha Samunge Loliondo. Hivi sasa babu yupo katika mchakato wa kujenga kituo kikubwa ambacho kitachukua umati mkubwa wa watu wengi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad