HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 28, 2012

Allan Lucky na Haika Samweli wameremeta na kuwaka waka jijini dar

Mdau Allan Lucky Komba akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Best man wa Bw. Harusi,Banana Zorro na kulia ni Mai waifu wake Allan Lucky,Bi. Haika Samweli.
Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
Mdau Allan Lucky akimvisha pete mkewe.
Shemeji nae akijibu mapigo,ya kumvisha pete mumewe.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha East Africa TV, Mdau Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akiwa na mai waifu wake Haika Samweli mara baada ya kuungana (kufunga ndoa) kuwa mwili mmoja katika hafla ya ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.
Mdau Allan Lucky Komba na Mai waifu wake Haika Samweli wakipokea nondozz zao za ndoa toka kwa afisa wa Serikali.
Maharusi wakikata Cake.
Maharusi wakiwa hai tebo.
Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo.

1 comment:

  1. sorry kwani hiyo harusi ni ya serikali au ya church?coz nimekuwa confused,kuna picha inasema "wakipokea vyeti vyao kutoka kwa afisa wa serikali" picha ya mwisho inasema ndugu wakiwa kwenye ibada.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad