HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 9, 2012

Libeneke la Mama Pipiro larudi hewani baada ya kwikwi ya siku kadhaa

Habari za kazi Wadau, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Kufuatia tatizo la kiufundi lililojitokeza hapo nyuma blogu yako ya Mamapipiro ilishindwa kuendelea na utendaji wake, nawaomba radhi wadau wangu wote ambao mlikosa kupata matukio muhimu ya michezo na burudani kwa zaidi ya wiki moja,hivyo kwa sasa mambo yamekaa sawa hivyo endeleleeni kuperuzi blogu yenu kwa habari kem kem za michezo na burudani kupitia


Natanguliza shukrani zangu za dhati!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad