Fede mzee wa Katuni.
Dkt. Isack Maro wa Njia Panda ya Clouds FM.
Mkubwa wa Kazi,John Bukuku Mzee wa FULL SHANGWE...
Ankal Wangu Ibrahim Said.
Dada Farida wa Tumbo la Jirani.
Kwa Niaba ya Wadau wengine wa Libeneke hili la Mtaa Kwa Mtaa,tunawatakiwa kila la kheri katika maisha yenu na Mungu awazidishie uhai mrefu na Muishi Miaka mingi.
Hepi Besdeizz kwa ujumla wenu na wengine woote waliozaliwa siku kama ya leo.
No comments:
Post a Comment