HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 29, 2012

Evans Bukuku Komedi Shoo yabamba sana

Mchekeshaji Maarufu Nchini,Evans Bukuku akikafanya vitu vyake usiku huu katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jiji Dar wakati wa Shoo yake ya kuvunja mbavu za watu (kucheka) iliyomalizika muda mfupi uliopita.
Evans akiigiza kama DJ.
Evans Akiigiza Kuimba kwa Manjonjo.
Dogo Pepe nae kama kawaida yake,akipanda jukaani lazima mkome wenyewe kwa vituko vyake.
Evans na Mshkaji wake wakuruka nae majoka (kucheza muziki).
Enika akiimba nyimbo zake za kuchekesha.
MC Taji Liundi akiwa Libenekeni usiku huu.
Mtangazaji wa Radio Clouds FM,Adam Mchomvu a.k.a Baba John nae alipata wasaha wa kupanda jukwaani na kutoa hadithi yake ya kuchekesha.
Kila Mtu alieingia kwenye shoo hiyo ya Evans Bukuku ni hakika alifurahi sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad