Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiingika katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,ili kuzungumza na Uongozi wa Habari,Utamaduni Utalii na Michezo,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Uwezeshaji Wananchi,Kiuchumi na Ushirika,wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo jana.Picha na Ramadhan Othman IKULU.
No comments:
Post a Comment