HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 27, 2012

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mdau Hanifa Ismail

Leo ni siku ya Kuzaliwa ya mdau wa Libeneke letu hili la Mtaa kwa Mtaa afahamikae kwa jina la Hanifa Ismail ambaye ni Mwanafuzi wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino kilichopo jijini Mwanza akichukua Shahada ya Uchumi mwaka wa tatu.Blogu hii inachukua fursa hii kumtakia mafanikio mema katika masomo yake na maisha yake yote kwa ujumla.

1 comment:

  1. Happy Birthday toyouuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
    God protect u and have a long living as eagles live, thats more than hundred years.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad