Mwanamuziki mpya wa Bendi ya Mashujaa,Charles Gabriel a.k.a Chaz Baba (mwenye fulana ya bluu) akiwasilli kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jioni ya leo wakati akitokea nchini Dubai alikokuwa amekwenda kwa mapumziko mafupi baada ya kuikacha Bendi yake ya awali ya African Stars (Twanga Pepeta).
Chaz Baba akizongwa na Mashabiki wake wa Bendi Mpya ya Mashujaa waliofika uwanjani hapo kwa wingi ili kumlaki wakati akiwasili.
Chaz Baba akifanya mahojiano na waandishi wa habari.




No comments:
Post a Comment