Kuna Mdau ameniomba niirudie picha hii ya huyu jamaa aliyekuwa akipiga bafu kwa maji machafu yanayotoka kwenye bomba linalotoka kwenye kiwanda cha Kampuni ya bia nchini (TBL) maeneo ya mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam.
Wednesday, January 25, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SO JAMAA ANA TAKA ANUKIE ARUFU YA NGANO AU SIFA ZA KIJINGA
ReplyDeleteuhaba wa maji huo, kazi kwao Dawasco
ReplyDeleteAcha aoge,si unajua tene shida ya maji-HAMISI MSALAPAI
ReplyDelete