HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 25, 2012

Jamaa akipiga bafu kwa maji machafu

Kuna Mdau ameniomba niirudie picha hii ya huyu jamaa aliyekuwa akipiga bafu kwa maji machafu yanayotoka kwenye bomba linalotoka kwenye kiwanda cha Kampuni ya bia nchini (TBL) maeneo ya mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam.

3 comments:

  1. SO JAMAA ANA TAKA ANUKIE ARUFU YA NGANO AU SIFA ZA KIJINGA

    ReplyDelete
  2. uhaba wa maji huo, kazi kwao Dawasco

    ReplyDelete
  3. Acha aoge,si unajua tene shida ya maji-HAMISI MSALAPAI

    ReplyDelete

Post Bottom Ad