Askari wa Usalama Barabarani akiwa amewasimamia mafundi wa Lori lililokuwa limeharibika barabarani na kusababisha msongamano mkubwa wa magari mengine kumaliza kulitengeneza gari hilo kwa haraka na kuondoka maeneo ya Kinondoni Studio jijini Dar es Salaam.
Sunday, January 22, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment