HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 22, 2012

Dk. Mary Nagu aongoza matembezi ya hisani ya Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu (katikati) akiongoza matembezi ya hisani ya Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama yaliyoandaliwa na Taasisi ya Madaktari wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania (THPI) ambayo yalianzia katika Hospitali ya Manisipaa ya Temeke hadi katika Ofisi za Manisipaa ya Tameke, leo jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa matembezi ya hisani ya Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama wakielekea katika Ofisi za Manisipaa ya Temeke, leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu (katikati) akimpongeza mama aliyejifungua salama alipotembelea wodi ya Mama wajawazito katika hospitali ya Manispaa ya Temeke kabla ya kuongoza matembezi ya hisani ya Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama yaliyoandaliwa na Taasisi ya Madaktari wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania (THPI) ambayo yalianzia katika Hospitali ya Manisipaa ya Temeke hadi katika Ofisi za Manisipaa ya Tameke, leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad