Vijana wanaojihusisha na shughuli ya uokotaji wa makopo ya plastic ya maji ya kunywa yaliyotumika kwa ajili ya kuyauza na kujipatia rizki,wakiwa mamelala pembezoni mwa barabara ya Ally Hassan Mwinyi,kutokana na uchovu wa kuzunguka huku na huko kutafuta makopo hayo.
Thursday, November 3, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment