HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 3, 2011

mafunzo ya airtel rising stars yafungwa rasmi leo jijini dar

Kocha wa shule ya soka wa klabu ya Manchester United Billy Miller akimkabidhi Selemani Bofu cheti wakati wa hafla ya kufunga mashindano hayo iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) Mtemi Ramadhani akimkabidhi Chimwemwe Birry medani katika hafla ya kufunga mafunzo ya kimataifa ya michezo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Selemani Bofu akipongezwa na makocha  kutoka klabu ya Manchester United baada ya kuwa mfungaji bora wakati wa mazoezi ya kufunga katikati Paul Bright kushoto Billy Miller .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad