Bwana Harusi Maududi Tingwa na Bi. Saada Ikene wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka leo.
Bwana Harusi akiwa katika pozz la picha
Bi. Harusi katika pozz.
Bwana Harusi,Maududi Tingwa (katikati) akiongoza kusoma dua mbele ya mkewe na kadamnasi mara tu baada ya kumeremeta leo.
Bi. Harusi akimwaga wino kuashiria kuwa yuko pamoja na mumewe,katika hali ya shida na raha.kushoto ni Bwana Harusi akipiga chabo kuona kama atasaini sehemu husika.
"Mai Waifu ngoja nikufute jasho,maana unasweeetiiiii kweli kweli.
Bwana Harusi,Maududi Tingwa (kulia) na Mpambe wake.
Wazazi wa Bwana Harusi.
Bi. Harusi na Mpambe wake.
Kina Mama na Watoto.
Ma antizzzz....
Wamependezaaaaaa.........sanaaaaaaa......
Anti Asha akimfanyia usmati mwanaee....
kina sie pia ndaniiiii.....
Ustaadhi akitoa mawaidha.
Maududi akifungishwa ndoa na Maalim Bakari.
Utatutakaaaa........
mola aijaze ndoa yenu furaha na baraka mzae watoto wema
ReplyDelete