Mkuu wa mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya akiwatabulisha wageni muhimu kutoka Rwanda na Burundi walipokuja kushuhudia kuanza kwa huduma za ndege ya ATC kwenye mikoa ya Kigoma na Tabora jana.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mkurugenzi Mkuu wa ATC, Paul Chizi (mwenye suti nyeupe) akikata keki kabla ya safari kuanza katika uwanja wa Kimataifa wa JK Nyerere.
Abiria wakipanda ndege ktk uwanja wa JK Nyerere kuelekea Kigoma.
Abiria kutoka Tabora wakishuka kwenye ndege ktk Uwanja wa Kimataifa wa Jk Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment