HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2011

vodacom miss tanzania aagwa leo kwa safari ya uingereza kushiriki miss dunia


Naibu Waziri wa Uchukuzi, Athuman Mfutakamba akimkabidhi bendera ya taifa  Vodacom Miss Tanzania, Salha Israel kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika fainali za mashindano ya urembo ya Dunia yatakayofanyika jijini London Novemba 6. Mrembo huyo anatarajiwa kuondoka Oktoba 19. Kushoto ni Mkuu wa udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza na Mlezi wa kamati ya miss Tanzania, Emmanuel Ole Naiko. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.Picha na Francis Dande.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Athuman Mfutakamba akimkabidhi Vodacom Miss Tanzania, Salha Israel kitita cha dola za kimarekani 1000 kwa ajili ya maandalizi ya safari yake ya kwenda nchini Uingereza kuliwakilisha Taifa kwenye mashindano ya Dunia ya Urembo yanayotarajiwa kufanyika Desemba 3,2011.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad