HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 26, 2011

usicheze hii kama hujajiandaa,utadediiiiii..........


2 comments:

  1. hapana kaka hutadedi kama hujajiandaa...alicho kunja sana hapo ni miguu na kiuno ...ila kama hujajiandaa kuna hatari ya kujamba hovyo na pua yako mwenyewe ndio itakuwa ya kwanza kunusa kwani imeelekea kwenye eneo la tukio

    ReplyDelete
  2. WEWE MTOA MAONI WA KWANZA ACHA USHAMBA WAKO HICHO NI KIPAJI ANACHOWEZA ONYESHA! MBONA WABONGO WENGINE KAMA NINYI MKO MBELEMBELE TU KUTOA MAONI YA KUMKATISHA MOYO MTU? ANGEKUWA MCHINA AU JACK CHEN MNGEMSIFIA MPAKA UBISHI UKAWA NGUMI. TUJIFUNZE KUTOA SUPPORT KWA WASANII WETU . WATU KAMA NINYI NDIO MNAOZOTESHA MAENDELEO YA VIJANA WA KIBONGO KWA KASHFA ZENU NA MIDOMO KAMA NINIHII ZILIZOKUWA WAZI. WEWE HUWA HUJAMBI? AU KITU GANI SIO CHA KAWAIDA KAMA MTU ATAJAMBA?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad