HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 13, 2011

TAARIFA YA MAZISHI YA MAREHEMU MZEE SAIDI MUHAMMAD SIKAMKONO

Rejea taarifa ya msiba wa Mzee Said Muhammad Sikamkono mazishi yatafanyika kesho tarehe 13/10/2011 katika makaburi ya Hainalt Garden of Peace saa nane mchana. Ila kabla ya makaburini tunaombwa wote tufike msikiti wa Sakina Walthamstaw (basi namba 179) saa sita na nusu mchana. Msiba uko nyumbani kwa marehemu Woolwich Dorkyard ambako wote tunakaribisha muda wowote kujumuika na familia ya marehemu wakati huu wa majonzi .Wakina mama pia wanaweza kufika msikitini au nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kutoa pole.


Address ya sehemu ya msiba ni;


Woolwich Ferry
405,Frances Street, London.
SE18 5JU.


Kwa maelezo zaidi  tafadhali wasiliana na;


07813539025 - Haruna mbeyu.Katibu Jumuiya ya Watanzania -london


07766454596 - Abdallah Mdidi

1 comment:

  1. big up Mr.Othman unatupa taarifa kama mi sikufahamu kama tukio hili ili upate traffic zaidi ya hapa na matangazo zaidi ungewatumia hawa jamaa wanaoitwa jigambe technologies wanasite yao inaitwa www.jigambe.com na system yao inaitwa www.tanzaniakwetu.com ili usajili blog yako na ads system inayoitwa www.jigambeads.com.Nashukuru sana

    ReplyDelete

Post Bottom Ad