Mkurugenzi wa benchmark production, Madame Ritha Poulsen akiwa katika picha ya pamoja na Mwanamuziki toka nchini Nigeria,afahamikae kama Mr Flavour (kulia) na Mwanamuziki Daniel Kagonzo pindi wanamuziki hao walipowasili nchini mchana wa leo.Wakali hao watapamba shoo za fainali za Bongo Star Search zitakazofanyika kesho kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.
Thursday, October 13, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment