Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi jezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mawelewele ya Mkoani Iringa,Nyahi Amani. Anaeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano waAirtel Jackson Mmbando. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya shule hiyo kuendelea kujiandaa na kukuza vipaji kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 17 mara baada ya shule hiyo kushiriki mashindano ya mwaka huu ya kuvumbua na kukuza vipaji ya Airtel Rising Stars
Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi jezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Lugalo ya Mkoani Iringa, Benjamin Kabungo. Anaeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano waAirtel Jackson Mmbando. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya kukuza vipaji kwa watoto chini ya miaka 17.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akiwakabidhi jezi wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tagamenda ya Mkoani Iringa, Francis Mabiki (kulia na Ally Salum. Anaeshuhudia katikati ni Mwalimu Mkuu wasjhule hiyo, Benjamin Kabungo. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya shule hiyo kuendelea kujiandaa na kukuza vipaji kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 17 mara baada ya shule hiyo kushiriki mashindano ya mwaka huu ya kuvumbua na kukuza vipaji ya Airtel Rising Stars
Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi jezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Tagamenda ya Mkoani Iringa, John Chulla. Anaeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mbando. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya shule hiyo kuendelea kujiandaa na kukuza vipaji kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 17 mara baada ya shule hiyo kushiriki mashindano ya mwaka huu ya kuvumbua na kukuza vipaji ya Airtel Rising Stars
No comments:
Post a Comment