Kwanza kabisa Tunapenda kuchukuwa nafasi Hii kuwasalimu watu wote Wakubwa Shikamoo na wadogo Mambo vipi, Umoja wa Matukio na wanavyuo Tanzania (www.tzwanavyuo.blogspot.com) inayo furaha kuwaletea habari njema wale wanafunzi wote ambao walikosa nafasi za kujiunga na vyuo katika mchakato mzima wa awamu ya kwanza na awamu ya pili.
Lakini sasa baadhi ya vyuo vikuu vikiwemo Teofilo Kisanji
University, Stefano Moshi Memorial University College,St. Augustine
University of Tanzania, Ruaha University, National Institute of
Transport, Iringa University College, Institute of Finance Management,
Eskerforde Tanga University, University of Dodoma na Ardhi University
vimetangaza baadhi ya nafasi hizo.
Nafasi zimeelezewa vema na pia
mwaweza tazama wapi unataka kujiunga. Fungua sasa na ufuate maelekezo na
kutuma maombi yako bila kuchelewa Tunawatakia mafanikio mema wale wote
ambao wataenda kujiunga.
Mwisho tunapenda kuwakumbusha kwamba ule
mtandao wenu wa wanavyuo Bado unakungoja wewe ambae haujajiunga BOFYA HAPA KUJIUNGA NA SOCIAL NETWORK YENU Pia BOFYA HAPA KUJIUNGA NA FAN PAGE YENU nyote
mnakaribishwa.
na kama mna matukio mbali mbali ya vyuoni kwa wanavyuo
wote watanzania waliopo nje na Ndani ya Tanzania na Watumishi wa vyuo
kama mna matangazo ama matukio mnataka kuyaposti pia tutumieni kupitia twanavyuo@live.com
Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: www.tzwanavyuo.blogspot. com
Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: www.tzwanavyuo.blogspot.
No comments:
Post a Comment