HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 19, 2011

Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu aondoka nchini leo

 Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu akiwa kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere mchana wa leo wakati akijiandaa kuondoka kuelekea nchini China kushiriki mashindano ya Miss International 2011 yatakayofanyika mjini Chengdu nchini humo kuanzia tarehe 20 Oktoba na fainali kupangwa kuwa tarehe 6 Novemba.
 Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu akisindikizwa na Dada Mwanakombo Salum.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad