

Mwalimu akiwa amebebwa juu juu baada ya kupata uhuru

Mwalimu
Julias K.Nyerere na Mzee Abeid A.Karume wakipita mitaa ya Dar es Salaam
kusherehekea na wananchi siku ya kwanza ya Muungano

Mwalimu akichanganya udongo kwa kuashiria muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mwalimu Nyerere akiwa na Familia yake.
Mwalimu Nyerere akiwa na Familia yake.

enzi
hizo: Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere akiwa na aliekuwa Rais wa
Msumbiji miaka hiyo,Hayati Samora Machel pamoja na wake zao.mama Maria
Nyerere (kulia) na mama Graca Machel
Mwalimu Nyerere akiwa na Wasaidizi wake,Kutoka kushoto ni marehemu Habib Halahala, Mzee Paul Sozigwa, Mwalimu, Mzee Hashim Mbita, Mzee Benjamin Mkapa.
Mwalimu Nyerere akiwa na Wasaidizi wake,Kutoka kushoto ni marehemu Habib Halahala, Mzee Paul Sozigwa, Mwalimu, Mzee Hashim Mbita, Mzee Benjamin Mkapa.

Mwalimu Nyerere akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa

Mwalimu akiwa na Fidel Castro wa Cuba.

Mwalimu akifurahi jambo na Shujaa Nyirenda

siku mwili wa Baba wa Taifa ulipowasili nchini toka nchini Uingereza.
No comments:
Post a Comment