Wataalam wa Sheria za Barabarani msaada tutani katika hili,
Chinga wa Korosho maeneo ya Ruvu.
Safari yake iliishia hapa kwa siku ya jana.
Punda
Yale yaleee......
Chalinze.
Machinga wa Chalinze wakijiandaa kufanya biashara zao.
Wami.
Hili nalo lilichomoka exel ya mbele na kujikuta likifika hapa lilipofika kwenye kona za mto wami.
Mkata.
Mayai ya Kienyeji.
Maeneo ya Mkanyageni,Tanga.
Jamaa akikatiza katika raundi abauti ya kwa Minchi,Tanga.
Kizigo kimekubali kwenye Daladala hii.
Waiti Hausi,Muheza Tanga.
Njia panda ya Pangani.
Safari imekolea.
Biashara ya Machungwa Maeneo ya Segera.
Ukaguzi wa Magari kwa Jeshi la Polisi.
Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe.
Korogwe.
Nikiwa nimejumuika na wananchi wa kijiji cha Maji Moto,Kata ya Kizara Wilaya ya Korogwe Vijijini Mkoani Tanga tukisikiliza hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini,Mh. Maji Marefu.kuna utata??
No comments:
Post a Comment