Saturday, September 17, 2011
Home
Unlabelled
wimbo wa pole kwa wazanzibar kufuatia ajali ya meli ya mv spice islander
wimbo wa pole kwa wazanzibar kufuatia ajali ya meli ya mv spice islander
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Hiyo Meli mwanzoni mwa video sio ile iliyozama Zanzibar. Hiyo ni meli ilizama mwezi Julai huko Asia. Waliotengeza hiyo video inabidi waiondoe Youtube au waifanyie editing kwa sababu inapotosha sana. Vinginevyo itaingia kwenye historia kama meli iliyozama Zanzibar kumbe sivyo. Walio karibu na walioandaa hiyo video walezwe.
ReplyDelete