moja kati ya makundi shiriki kwenye Shindano la kutafuta washindi kwenye shindano la Spriteslam litaloendelea kwa mara nyingine tena kwenye viwanja vya Leaders Club,jijini Dar hapo kesho.watakaonogesha mashindano hayo kwa upande wa burudani ni Roma Mkatoliki, C Pwaa lakini pia Bendi maarufu ya Twanga Pepeta itakuwa katika viwanja hivyo kwaajili ya kuendeleza burudani kwa washabiki mbalimbali watakaofika hapo.mnakaribishwa wote katika viwanja hivyo na kujionea burudani mbalimbali.
Saturday, September 10, 2011

Home
Unlabelled
Tamasha la Sprite kufanika kesho viwanja vya Leaders Club
Tamasha la Sprite kufanika kesho viwanja vya Leaders Club
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment