HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 11, 2011

SARHA ISRAEL ANYAKUA TAVI LA VODACOM MISS TANZANIA 2011

 Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu,Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.
Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel mara baada ya kutangazwa hivi punde.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad