Kwa niaba ya viongozi na wafanya kazi wote wa Dar Es Salaam Zoo,kigamboni. Tunatoa salamu za pole na rambirambi kwa wafiwa na walio nusulika katika ajali mbaya ya kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islander iliyo tokea tarehe 10-09-20011.
Tukio hili la kusikitisha na kushtua limegusa familia nyingi na kuziacha zikiwa kwenye majonzi kwa kupoteza ndugu na jamaa zao wakaribu, uongozi wa Dar Es Salaam Zoo unaungana na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuomboleza na kuwafariji wafiwa na majeruhi wote, Mwenyezi Mungu atupe nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi makubwa yalilo ikumba taifa letu.
Hizi zote ni Fadhila za Mwenyezi Mungu.
“Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika”
Marketing manager
Salim Hassan
+255 784 524 285
www.daressalaamzoo.com
info@daressalaamzoo.com
No comments:
Post a Comment