HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 19, 2011

Safari Lager yadhamini Mashindano ya Darts

 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelukindo (kushoto) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) asubuhi hii wakati wa kutangaza udhamini wa sh. milioni 20 kwa mashindano ya mchezo wa vishale (Darts) ambao unataraji kuanza kuchezwa Septemba 23-25,2011 katika ukumbi wa Riddoch uliopo mkoani Tanga.Kulia ni Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Tanzania,Gesase Waigama.
Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Tanzania,Gesase Waigama (kulia) akizungumza na  Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa shukrani zake kwa kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Safari Lager ambao ndio wadhamini wa mashindano hayo ya Vishale (Darts) hapa nchini.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelukindo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad