HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 22, 2011

Rais Kikwete akutana na Viongozi Mbali Mbali wa Dunia jijini New York, Marekani

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Canada Mh Stephen Harper wakati viongozi hao walipokutana katika hoteli ya Intercontinental huko New York nchini Marekani. Viongozi hao wako nchini humo wakihudhuria mkutano wa 66 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ulioanza tarehe 19.9.2011. 
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na viongozi mashuhuri duniani akiwemo Askofu Desmond Tutu kutoka Afrika Kusini (kushoto) na aliyekuwa Rais wa Finland Mheshimiwa Marti Artisaari (katikati) wakati wa special event on the implementation of the Global strategy for women's and children's health iliyofanyika katika hoteli ya Grand Hyatt katika jiji la New York nchini Marekani. Picha na John Lukuwi.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad