HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 5, 2011

nyumba inauzwa

Nyumba ina vyumba 3,viwili vya kawaida na kimoja master,ina Garage,sitting na dinning room kubwa pamoja na kitchen.Ina eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine na eneo limepimwa.Nyumba hiyo iko Mtoni Kijichi (Wilaya ya Temeke),hakuna msongamano (Low Density Area),dakika 5 kwa gari kuelekea barabara kuu (Kilwa Road) na dakika 15-20 kuelekea mjini (K/koo au Posta).Wasiliana na mmiliki kupitia namba: + 255 657 183 918 au Email:binkhalifa@yahoo.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad