HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 17, 2011

NJIA YA MWANANYAMALA - KIJITONYAMA SASA NI MKEKA

Njia ya mkato ya kutokea Mwananyamala kuelekea Kijitonyama sasa imewekwa mkeka wa maana na kuwafanya wakazi wengi wa jiji la Dar kupita njia hii.pongezi nyingi wa waliolifikiria swala la kuikarabati njia hii na mpaka kufikia hatua hii ambayo kiukweli itasaidia sana kupunguza hadha ya foleni katika barabara kubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad