Hivi ndivyo hali halisi ilivyo katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es Salaam kwa kufanywa ni sehemu ya kuhifadhia taka ngumu huku wahusika wa jiji wakipita katika maeneo hayo kana kwamba haoni hali hii.huu ni mtaa wa Muhoro na Kongo,Kariakoo jijini Dar na iko mingi tu huu ni mmoja wapo.
Wednesday, September 7, 2011

Home
Unlabelled
Mitaa ya jiji la Dar yaendelea kufanywa madampo ya takataka
Mitaa ya jiji la Dar yaendelea kufanywa madampo ya takataka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment