Mdau Seif Kabelele (kulia) akiwa ameliwa konozz na Mzee wa Mtaa kwa Mtaa pindi walipokutana katika moja ya majukumu yao ya kila siku hivi Karibuni.Mdau Kabelele ni Mmoja wa wanalibeneke wachanga wanaokuja kwa kasi ya ajabu katika Libeneke la Kublogu hapa nchini,hebu pita katika wanja lake hilo kwa kubofya hapa ili ukajinafasi na mautamu na mauroda kibao anayoyawakilisha katika wanja lake hilo.
No comments:
Post a Comment