HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 14, 2011

ISSA SEWE AJIFUA KUMKABIRI RAMADHANI SHAULI MWISHONI MWA MWEZI UJAO

Kocha Mkongwe wa mchezo wa ngumi Nchini Habibu Kinyogoli'Masta' (kushoto) akimwelekeza jinsi ya kutupa masumbwi bondia, Issa Sewe wakati wa maoezi yanayorndelea ya kambi ya Ilala Sewe atapambana na Ramadhani Shauli mwishoni mwa mwezi ujao.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad