HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 16, 2011

LINDA NA LUCY NDANI YA WESTMINISTER


 wawakilishi wetu wakipeperusha bendera ya Tanzania ndani ya westminister.


SALAM,

Urban Pulse Creative inakuletea matukio katika picha ya wawakilishi wetu kutoka Tanzania ndani ya Bunge la Vijana (YOUTH COMMONWEALTH PARLIAMENT) lililofanyika kuanzia tarehe 6-10 Septemba 2011. Tanzania Iliwakilishwa kutoka kwa Linda kapinga pamoja na  Lucy Minde. 

Motto wa Mkutano huu ulikuwa Mabadiliko ya Mazingira

Mbali na kupata fursa ya kukutana na wawakilishi wengine kutoka kwenye nchi mbalimbali za jumuiya ya Madola pia walikaribishwa kupata chakula cha pamoja  kutoka katika nyumba wa spika wa House of Commons John Bercow

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

 Mh Balozi Peter Kallaghe Katika picha ya pamoja Linda na Lucy.
 speaker of house of commons.
 Linda Kapinga,mwakilishi wa Australia,mwakilishi wa Northen ireland na Lucy Minde.
 DR. Shija na Wawakilishi Wetu.
 linda akiwa kazini.
 Linda Kapinga na Lucy Minde [Wawakilishi wa Bunge la vijana wa CommonWealth.
 Linda Kapinga,Lucy Minde na mwakilishi wa Malawi [Heather Maseko] na walinzi,nje ya nyumba ya speaker wa bunge,walipoalikwa kwa Networking Dinner.
 Lucy akiwa kwenye chamber westminister na wawakilishi kutoka nchi mbalimbali.
Wawakilishi wetu wakifuatilia hoja Bungeni.
Jengo la westminister.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad