HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 12, 2011

Kilimanjaro Premium Lager yaendesha semina ya waandishi wa habari kuhusu Kapeni ya Kili Jivunie uTanzania

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akitoa mada wakati wa semina ya waandishi wa habari kuhusu Kapeni ya Kili Jivunie uTanzania. Semina hii ilifanyika Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishiriki katika semina ya Kampeni ya Kili Jivunie uTanzania inayoenda sambamba na miaka hamsini ya Uhuru wa Tanzania. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad