Kwa niaba ya jumuiya ya watanzania
waliopo nchini uingereza chini ya Mwenyekiti wa TANZ- UK taifa
imesikitika sana na kuwapa pole watanzania wenzetu wa zanzibar kwa msiba
mkubwa uliolikumba taifa.
Watanzania
wote tulio hapa tunaungana nanyi kwa pamoja katika wakati huu mgumu na
pia tuko tayari kushirikiana kwa hali na mali kuwafariji ndugu na
jamaa kwenye msiba huu.
Mwenyekiti TANZ- UK. Dr John Lusingu

No comments:
Post a Comment